Zamaradi mketema biography templates



Zamaradi mketema biography templates free

Sample personal biography templates!

Zamaradi Mketema

'

Zamaradi Mketema
Amezaliwa(1985-10-04)Oktoba 4, 1985
Dar es Salaam, Tanzania
NchiTanzania
Kazi yakeMtangazaji
Watoto3


Zamaradi Mketema (alizaliwa Mkoa wa Dar es Salaam, 4 Oktoba1985) ni mtangazaji wa redio na televisheni kutoka Tanzania aliyepata umaarufu kwa utangazaji wake kwenye kipindi cha Take One kilichokuwa kikirushwa na kituo cha televisheni cha Clouds.

[1].

Maisha na elimu

Zamaradi Mketema alianza shule ya msingiMuhimbili.

Zamaradi mketema biography templates

  • Zamaradi mketema biography templates
  • Zamaradi mketema biography templates free
  • Sample personal biography templates
  • Biography templates free
  • Zamaradi mketema biography templates pdf
  • Alianza masomo ya Sekondari katika Shule ya Kiislam ya Wasichana huko Kunduchi, kisha kujiunga na Shule ya (St Mary’s International Mbezi Beach) ambapo alimaliza kidato cha nne. Badaye alijiunga na Green Acres kwa elimu ya Kidato cha Tano na Sita, hata hivyo hakuweza kumaliza shuleni hapo, alihama na kujiunga na Shule ya (Hillside High International School) iliyopo Bunamwaya, Uganda na baadae kurudi Tanzania alipomaliza kidato cha sita.

    Alijiunga na Chuo Kikuu cha Mt. Augustino tawi